Jifunze zaidi

Je, wajua kwamba ni aslimia 12 tu ya majiji ndiyo yana vipimo vya ubora vilivyowekwa na shirika la afya la WHO? Kwamba vifo milioni 4.3 vinahusishwa na uchafuzi wa mazingira manyumbani kutokana na upishi? Au kwamba nchi 90 kati ya 193 hazina vipimo vya ubora dhidi ya gesi kutoka kwa magari?

}